AcNova Smart Umwagiliaji. Better Harvests.
KUHUSU ACNOVA

AcNova: Agriculture + Innovation kwa Kilimo cha Kisasa

Jina AcNova linatokana na Agriculture na Innovation. Ni platform inayounganisha farm mapping, umwagiliaji, soil intelligence, masoko, cooling chain, logistics na dashboards za wadau wa kilimo ili kujenga suluhisho la kudumu kwa wakulima.

Our Story

Safari ya AcNova inaanza na founder wa UNIDA TECH, ambaye alikulia karibu na changamoto halisi za wakulima wadogo na kuona kwa macho jinsi ukosefu wa mvua, teknolojia, taarifa na masoko unavyoweza kuharibu maisha ya familia nyingi.

Katika mazingira hayo, wakulima wengi hulima kwa nguvu kubwa lakini bila data ya shamba, bila taarifa sahihi za hali ya hewa, bila umwagiliaji wa uhakika, bila masoko ya kuaminika na mara nyingi bila mfumo unaowalinda wanapokutana na hasara.

Ndiyo maana AcNova imejengwa kama Agriculture + Innovation: mchanganyiko wa kilimo, data, ramani, masoko, irrigation intelligence na operations technology. Lengo si kutengeneza website tu, bali kujenga permanent digital agriculture solution inayoweza kusaidia wakulima, cooperatives, buyers, field officers, delivery, cooling partners na institutions kufanya kazi pamoja.

VISION

Vision

Kujenga connected, data-driven and climate-smart agriculture ecosystem kwa Tanzania na East African Community, ambapo wakulima na wadau wa kilimo wanaweza kufanya maamuzi bora kupitia data ya mashamba, hali ya hewa, udongo, umwagiliaji, masoko na mnyororo mzima wa thamani ya kilimo.

MISSION

Mission

Kuwasaidia wakulima kuongeza tija, kupunguza upotevu wa maji, kupata masoko bora na kujenga reliable farm records kupitia smart irrigation, farm mapping, soil intelligence na agriculture operations technology.

PROBLEM

Tatizo Tunaloenda Kutatua

  • Mashamba mengi hayana taarifa za kidigitali kama eneo, mipaka, ukubwa, aina ya mazao, hali ya udongo na historia ya uzalishaji.
  • Umwagiliaji mara nyingi hufanyika kwa mazoea badala ya data, hivyo kuongeza matumizi ya maji, gharama na risk wakati wa ukame.
  • Wakulima wengi hawapati taarifa sahihi kwa wakati kuhusu bei, masoko, hali ya hewa, wadudu, magonjwa, pembejeo na mbinu bora za kilimo.
  • Kuna gap kubwa kati ya mkulima, mnunuzi, cooperative, field officer, cooling chain na delivery.
  • Taasisi na programs zinahitaji data bora ya wakulima na mashamba, lakini mara nyingi data ipo scattered au haipo kabisa.
SOLUTION

Suluhisho la AcNova

AcNova inaweka Agriculture + Innovation kwenye mfumo mmoja: farm mapping, farmer onboarding, irrigation support, soil and plant intelligence, market access, cooling chain, logistics na role-based dashboards kwa real agriculture users.

  • Mkulima anaweza kusajili shamba, kuchora mipaka, kuhifadhi taarifa na kupata ushauri wa kilimo.
  • Buyer anaweza kuona produce listings, price intelligence na orders.
  • Cooperative na farmer groups wanaweza kusimamia members, group farms, education na collective market.
  • Field officers, delivery agents, cooling partners na program partners wanaweza kufanya kazi zao kwenye dashboard zao husika.
MODULI ZA ACNOVA

Moduli na Uwezo wa AcNova

AcNova imejengwa kusaidia kilimo cha kisasa kuanzia usajili wa wakulima, ramani za mashamba, umwagiliaji, afya ya mimea, hali ya hewa, masoko na usafirishaji.

Kilimo cha Kisasa

Zana za kidigitali zinazosaidia wakulima kupanga, kufuatilia na kuboresha shughuli za shamba.

Umwagiliaji wa Kisasa

Msaada wa maamuzi ya umwagiliaji kupitia taarifa za shamba, udongo, hali ya hewa na matumizi ya maji.

Elimu kwa Wakulima

Maarifa ya kilimo, mafunzo, ushauri na taarifa rahisi kwa wakulima na vikundi.

Mazao, Dawa, Wadudu na Magonjwa

Ufuatiliaji wa afya ya mazao, tahadhari za wadudu, magonjwa na matumizi sahihi ya dawa.

Masoko na Bei za Mazao

Taarifa za soko, bei za mazao, listings, wanunuzi na fursa za kuuza mazao.

Vikundi na Vyama vya Ushirika

Usimamizi wa vikundi vya wakulima, vyama vya ushirika, wanachama na huduma za pamoja.

Cooling Chain

Ufuatiliaji wa uhifadhi baridi, ubora wa mazao na miundombinu ya kupunguza upotevu baada ya mavuno.

Delivery na Logistics

Mtiririko wa usafirishaji, delivery agents, orders na ufuatiliaji wa bidhaa kutoka shambani hadi sokoni.

ZATAAM Services Connection

Muunganiko wa huduma na workflows zinazoweza kusaidia wakulima na wadau wa kilimo Zanzibar.

Real-Time Farm Monitoring

Ufuatiliaji wa moja kwa moja wa shamba, hali ya mazao, vifaa na shughuli za kilimo.

Remote Farm Monitoring

Uwezo wa kufuatilia mashamba kwa mbali kwa kutumia dashboard, ramani na taarifa za kidigitali.

Weather APIs na Climate Data

Taarifa za hali ya hewa, mabadiliko ya tabianchi na viashiria vinavyosaidia maamuzi ya kilimo.

Plant Health Assessment

Tathmini ya afya ya mimea, dalili za changamoto na ushauri wa hatua za kuchukua.

Soil Moisture na Soil Testing

Taarifa za unyevu wa udongo, vipimo vya udongo na mapendekezo ya kilimo kulingana na hali ya shamba.

Field Assessment

Ukaguzi wa shamba, taarifa za eneo, mazao, udongo, maji na maendeleo ya uzalishaji.

Farmers Onboarding

Usajili wa wakulima, taarifa za vikundi, maeneo, mashamba na kuanza kutumia huduma za AcNova.

HOW IT WORKS

How AcNova Works

  1. User anajisajili kwa role yake kama farmer, buyer, cooperative, field officer, cooling partner, delivery agent, investor au institution partner.
  2. Baada ya login, mfumo unampeleka kwenye dashboard yake sahihi kulingana na role na permissions.
  3. Farmer au field officer anaweza kusajili shamba, kuweka GPS location na kuchora mipaka kwenye ramani.
  4. Mfumo unaunganisha farm data na soil, weather, irrigation, market na logistics workflows.
  5. Dashboard zinaonyesha live data pale inapopatikana na baseline/fallback data pale integrations zinaendelea.
CAPACITY

Uwezo wa AcNova

AcNova imejengwa kuhudumia ecosystem nzima ya kilimo kupitia role-based structure, APIs, dashboards, mobile-friendly UI, map services, weather data, soil data, market baseline data na future IoT sensor integration.

Farmers Buyers Cooperatives & Groups Field & Extension Officers Cooling Chain Partners Delivery & Logistics Institutions & Program Partners Admin Command Center
SCALABILITY

Scalability

  • Phase 1: Tanzania and Zanzibar pilot kwa farmer onboarding, farm mapping, market baseline na irrigation guidance.
  • Phase 2: Cooperative and institutional deployment kwa groups, ZATAAM/extension, buyers, cooling na delivery partners.
  • Phase 3: API and sensor integration kwa weather, soil testing, IoT sensors, water flow, pump/valve data na crop advisory.
  • Phase 4: EAC expansion kwa country-specific crops, climate zones, markets, languages na partners.
  • Phase 5: Verified farm records kwa finance, insurance, productivity scoring, input credit na market contracts.
METRICS

Metrics and Traction

Registered users by role Farmers onboarded Mapped farms Farm polygons saved Buyer interests/orders Field assessments Market price records Institutions or partners engaged
IMPACT

Impact for Tanzania and EAC

AcNova inaweza kuwa suluhu ya kudumu kwa wakulima wa Tanzania na Afrika Mashariki kwa kujenga digital farm identity, kupunguza maamuzi ya kubahatisha, kusaidia matumizi bora ya maji, kuunganisha mazao na masoko, kupunguza post-harvest losses na kuweka farm records zinazoweza kusaidia finance, insurance na planning.

JOIN THE ECOSYSTEM

Support AcNova

AcNova si bidhaa ya kijiditali pekee. Ni dhamira njema ya UNIDA TECH kujenga jukwaa la kisasa na kiteknolojia yenye uvumbuzi unalenga kuinua na kuunga mkono kilimo na wakulima, jamii, mchango a kiteknolojia, unakutanisha wawekezaji, wafadhili, mashirika na washirika wa kazi na mazao ya kilimo.

Technical Contribution

Developers, GIS experts, agronomists, IoT engineers, AI engineers, UI/UX designers na researchers wanaweza kusaidia kujenga product.

Investment Support

Investors wanaweza kusaidia AcNova kukua kupitia capital, mentorship, pilot deployment na strategic growth.

Donation and Grant Support

Donors na supporters wanaweza kusaidia sensors, hosting, farmer training, field operations, pilot costs na community deployment.

Institutional Partnership

NGOs, government programs, universities na development partners wanaweza kutumia AcNova kwa farmer monitoring, reports, market linkages na climate-smart agriculture programs.